Skip to main content

Posts

Showing posts from January 26, 2014

Kauli ya Jussa Ladhu ya kuvunja Muungano haistahili na inapaswa kukemewa!

Mwakilishi wa Mji Mkongwe (CUF), Ismail Jussa Ladhu ametaka kuvunjwa kwa Muungano. Nimetuma maoni yafuatayo kwenye gazeti la Mwananchi.
Maoni ya mwakilishi wa CUF Jussa yanabidi ya kemewe sio tu na chama chake bali na watu wote wa Tanzania Bara na Visiwani. Maoni ya uchochezi yasiyo na msingi hayapaswi kuvumiliwa. Kiongozi yeyote ambaye anasimama mbele ya watu na kusema muungano haupaswi kuwepo ilhali takwimu za utafiti wa Tume ya Katiba inaonyesha idadi kubwa ya watu wa Tanzania wanataka muungano uwepo anapaswa kutoltiliwa maanani. Chama cha CUF kinapaswa kutoa tamko na kuhusiana na kauli ya Bw. Jussa! Watanzania wameainisha mstakabali wao kupitia rasimu ya awali ya Katiba. Sasa mjadala sio uwepo wa muungano bali mfumo na uthabiti wa muundo wa muungano. Tusikubali watu walio na maslahi binafsi ya uongozi kuturudisha nyuma.

Tahariri ya Tanzania Daima: Kuchapishwa kwa Rasimu ya Katiba Magazetini

Chini ya kichwa cha habari "Tume ya Katiba haikutenda haki" gazeti la Tanzania Daima limetoa tahariri ifuatayo. Inashangaza ni kwa nini Tume imeshindwa kuwezesha magazeti mengine yasiyo ya serikali na lile la Mwananchi kuchapisha rasimu ya pili. Inahojiwa pia ni kama rasimu hii imewafikia watu wenye ulemavu wa kuona?
RASIMU ya Pili ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imechapishwa jana kwenye baadhi ya magazeti baada ya kuwa imepitia vigezo vya kisheria kama alivyoahidi Rais Jakaya Kikwete wakati wa kuipokea Desemba 30, mwaka jana.
Rais aliwaahidi wananchi kuwa baada ya rasimu hiyo kuchapwa kwenye gazeti la serikali kama sheria inavyoelekeza, itasambazwa kwenye vyombo vya habari ili wapate kuisoma na kuijadili kabla ya Bunge la Maalumu la Katiba kuanza mwezi ujao.
Hata hivyo tunapenda kueleza masikitiko yetu kwamba tumeshutushwa na ubaguzi wa wazi wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba kwa vyombo binafsi vya habari. Tunasema ni ubaguzi wa wazi na wenye …

Reaction to Lipumba's Criticism of Tanzania's Finance Minister

This is a reaction to the story on The Citizen concerning Prof. Lipumba's criticism of the appointment of Saada Mkuya as Minister for Finance.
I think Prof Ibrahim Lipumba is right to question the qualifications and experience of the Minister for Finance based on his credentials as a respected economist. Criticisms leveled on JK's appointments have come from across sectors and Lipumba's entrance further shows the flaws in the cabinet appointments. I am dismayed by the women activists who rush and claim that the positive criticism by Lipumba is premised on gender, what a shame! Lipumba is positively contributing to the national debate and am certain gender was not in his agenda. Let us not divert attention and focus on substantive issues. With Tanzania facing new debt crisis and numerous economic difficulties, there is no room for experimentation. I am glad that with a new constitution, Ministers will be vetted by parliament before assuming office. We shall get…

Postcolonialism and the Egyptian Dilemma

Hamid Dabashi is one of my favorite authors. His writing prowess is exemplary. I love the way he brings out the rich history of Iranian poetry and literary discourses. The Iranian born guru in Iranian Studies and Comparative literature has written and published an array of academic works in subjects ranging from Iranian Studies, medieval and modern Islam, comparative literature, world cinema, and the philosophy of art (trans-aesthetics). His latest book "The Arab Spring: The End of Postcolonialim" which I read last year provides insights to the Arab Awakening which began in early 2011. The Arab Spring, as it has come to be known started from street protests in Tunisia due to the rising living costs. A young vegetable trader then set himself on fire in act of protest leading to the steamrolling of the protests to many Arab and North African states. The protests saw the ousting of long standing regimes such as that of Hosni Mubarak of Egypt, Ali Abdullah Saleh of Yemen, Lib…