Skip to main content

Posts

Showing posts from June 9, 2013

Hassan Rouhani takes early lead in Iran Election

Via various online sources Moderate reformist candidate Hassan Rouhani has taken an early lead in the Iran Presidential Elections. Tehran mayor Mohammad Baqer Qalibaf is coming in second place.  Informed sources say the voter turnout in Iran’s 11th presidential election has been around 80 percent, Press TV reports. With 2.9m ballots counted, the cleric had 1.46m votes, or 49.87%, well ahead of Tehran mayor Mohammad Baqer Qalibaf, with 488,000 votes, or 16.65%.

Rasimu ya Katiba na Lugha ya Kiswahili: Mjadala Kuntu!

Nicodemus Minde-@decolanga Ni karibu wiki moja tangia Tume ya Mabadiliko ya Katiba chini ya Mwenyekiti Jaji Mstaafu Joseph Warioba kuzindua rasmi rasimu ya Katiba. Mijadala miongoni mwa Watanzania wengi imekua ni mfumo wa serikali, mazungumzo ya muungano, madaraka ya rais, umri wa rais, na mengine mengi. Nimefuatilia mazungumzo mengi yaliyotokana na uzinduzi huu wa rasimu ya katiba. Ninafuraha kubwa kuona muamko mpya wa majadiliano miongoni mwa Watanzania kuhusianana na rasimu hii. Hakika, Tanzania ipo katika mpito wa mafanikio. Tunamshukuru Mungu.
Wakati Tume ya Mabadiliko ya Katiba ikipokea maoni, moja kati la swala kuu lililovuta hisia ya Watanzania wengi ni lile la lugha ya taifa, Kiswahili. Hata kabla ya mchakato huu wa katiba, kulikua na mijadala kuhusiana na sehemu ya lugha ya Kiswahili kwenye elimu ya Tanzania, na katika Katiba Mpya kwa ujumla. Sekta mbali mbali pamoja na asasi mbali mbali za kieleimu zilitoa mapendekezo yao. Baraza la Kiswahili Tanzania (BAKITA) walisisitiza …