Skip to main content

Posts

Showing posts from October 21, 2012

Bensouda afika Rift Valley kwa upelelezi zaidi

Kwa hisani ya VOA Swahili na Binafsi October 26, 2012: Mwendesha mashtaka mkuu katika mahakama ya kimataifa ya uhalifu, ICC, Fatou Bensouda, amekamilisha mazungumzo yake nchini Kenya na Rais wa nchi hiyo Mwai Kibaki, Waziri Mkuu Raila Odinga, Jaji Mkuu pamoja na viongozi wengine wa juu katika serikali ya mpito.

Bi, Bensouda pia  alianza kuchukua maoni Jumatano ya waathirika wa ghasia na mauaji yaliyotokea katika uchaguzi mkuu uliopita nchini humo kabla ya kuelekea katika miji ya Naivasha, Nakuru na Eldoret katika jimbo la Rift Valley ili kukutana ana kwa ana na baadhi ya waathirika wa ghasia hizo. Ujio wa Bi. Bensouda nchini Kenya unaashiria nia ya Mahakama hio iliyopo Hague kwamba ipo makini na inakusudia kuleta haki kwa waathirika wa machafuko ya mwaka 2007. Bensouda amekutana na mashirika ya kiraia pamoja na wahanga ya machafuko. 
Kesi zinazowahusu wahusika wakuu kama vile Makamu Waziri Mkuu Uhuru Kenya, waziri wa zamani na mbunge wa Eldoret Kaskazini William Ruto na wengine wa…

Uhuru Kenyatta’s meeting with Kikwete: Just a photo opportunity

Nicodemus Minde

The Unacceptable face of Capitalism in Kenya: The Matatu Fare Madness

What a Magnificent Sight: St. Peters Basilica

Obama, Romney hold round 3 presidential debate

Via Press TV US President Barack Obama and Republican rival Mitt Romney have held the third and final debate of the US presidential campaign, which focused on international affairs.
On Monday, Obama and Romney met for the 90-minute debate at Lynn University in Boca Raton, Florida, the biggest swing state.

The debate touched on a broad range of issues, including the popular uprisings in the Middle East and North Africa, the threat of al-Qaeda and other extremist groups, and the US-led war in Afghanistan. The two candidates also talked about Iran's nuclear energy program and trade with China.

Romney faulted President Obama's leadership on the Middle East.

"We certainly can't kill our way out of the mess," the former Massachusetts governor said.

Obama responded by saying Romney had changed his position on foreign policy over and over again and warned that he lacked the consistency needed to be a commander-in-chief.

"On a whole range of issues, wh…