Skip to main content

Posts

Showing posts from January 20, 2013

Allies in Libya, Enemies in Mali

Via Al Monitor Thanks to French President Francois Hollande, who felt the need to step in to contain the collapse of Mali, and a calamitous rescue operation by Algerian forces that resulted in the deaths of 37 hostages, the Western media has discovered Mali. 
The largest West African country is under threat of division in a war that sees government troops, along with a Western coalition led by the French, battling well-armed ethnic Tuaregs and the al-Qaeda-affiliated Ansaruldin group, who were already at war with each other.
Once known as French Sudan, Mali is one of France's main allies in sub-Saharan Africa. Fears are growing in Paris that the chaos might spill out to neighboring states fom what was anciently called "French West Africa," drastically affecting regional and international stability and peace. But that’s not all. France is concerned the spread will put what remains of its influence in this part of the world under serious threat.
The war in …

Tume ya Mabadiliko ya Katiba Imeshindwa kwenda na wakati

Nicodemus Minde Tupo kwenye zama za teknolojia na utandawazi. Mambo yote maisha ya mwanadamu siku hizi yanafanya kutumia ujumuiko wa watu wote duniani. Jumuiya ya dunia kwasasa inaletwa pamoja na mbinu za kisasa ambazo hujuisha mambo kama matumizi ya wavuti, mitandao ya kijamii, tarakilishi, barua pepe na kadhalika. Matumizi haya yamesaidia sana katika ukuzaji na ukuzwaji wa biashara, taasisi mbali mbali, mashirika yasio ya kiserakali, asasi za dini, taasisi za elimu, mashirika ya kijamii. Mashirika haya pamoja na asasi hizi zimetumia jukwaa hili la utandawazi kupanuka kibiashara, kitaasisi, kijamii na kadhalika. Upanuzi huu umesaidia makampuni haya na taasisi hizi kujiuza na kuhabarisha na kusambaza habari kuhusiana na taarifa zao, hoja zao na kadhalika.
Nimeshangazwa na tovuti ya tume ya mabadiliko ya katiba Tanzania kutofuata mkondo huu ilikusaidia kuhabarisha umma ya Tanzania pamoja na jamii nzima ya kimataifa kuhusiana na maendeleo yao katika mchakato mzima wa kukusanya maoni, t…