Paul: ‘Act of war’ on Iran, US obsession (via @presstvmobile) #PressTV
Published with Blogger-droid v2.0.6
![]() |
| Zenawi is well and good says government spokesman |
![]() |
| Ngasa dhidi ya Manchester United |
| Ngasa akibusu jezi ya Yanga |
Kati ya mambo muhimu katika dunia kwasasa ni michezo. Juzi hapa tumeshuhudia ufunguzi mkali wa Michezo ya Olympic pale jijini London. Zilikua sherehe za kufana na zinazothibitisha michezo kama mhimili wa uchumi. Siku ya pili tu kwenye mashindano haya, tumeshuhudia msichana mdogo wakichina Ye Shiwen mwenye umri wa miaka 16 akivunja rekodi ya dunia kwenye mashindano ya kuogelea ya Medley. Magazeti mengi ya dunia na blog nyingi za kispoti zilijazwa na taarifa ya msichana mdogo akivunja rekodi ya dunia na kuiletea nchi yake dhahabu. Msichana huyo ambaye anatoka katika mkoa wa pwani mashariki wa Zhejiang alichukua muda wa 4:28.43 kushinda. MV Bukoba ilivyokua inazama mwaka wa Mei 1996, msichana huyu alikua hajazaliwa. Tanzania, kwa wakati huo ilikua inatimiza miaka 35 ya uhuru. Mwaka huo pia Tanzania ilipeleka kikosi cha wanariadha kwenye Olympic ya mwaka 1996 kule Atlanta. Tulitoka kapa. Mara ya mwisho kwa Tanzania kushinda medali ilikua mwaka wa 1980 kule Moscow ambapo wanariadha Filbert Bayi na Suleiman Nyambui walishinda medali za fedha kwenye riadha.By Prof Paul Tiyambe Zeleza 3/2/2020 The Malawian Constitutional Court has annulled last year's presidential election results....