Monday, 10 February 2014

Chadema washeherekea kwa mbwembwe Arusha!

Waendesha bodaboda
Chadema washeherekea ushindi Arusha
Wafuasi wa Chadema wakicheza na kufurahia mjini Arusha baada ya ushindi wa diwani wa kata ya Sombetini.
 Mbwembwe za wafuasi wa Chadema.


 Mbunge wa Arusha mjini akiwapungia wafuasi wa Chadema walifurika licha ya mvua kubwa.Maandamano ya waendesha pikipiki almaarufu kama bodaboda (Toyo) wakiongozana katika msafara wa ushindi karibu na hoteli ya Palace jijini
Arusha.

No comments:

Post a Comment