Skip to main content

Maoni kuhusiana na Mgogoro ndani ya Chadema

Kufuatia mgogoro mzito ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), nimetuma maoni yafutayo kwenye gazeti la Mwananchi. Chini ya kichwa cha habari Chadema yamtimua Dk. Kitila, Mwigamba.

Demokrasia ndani ya vyama vya siasa ni suala ngeni na gumu hususan katika nchi yetu ya Tanzania. Kwa nchi kama yetu ambayo tumekulia na kulelewa katika mfumo wa chama kimoja na kutawaliwa na chama kimoja kwa muda mzima wa uhuru wetu, utamaduni wa siasa ya vyama vingi bado hujakita mzizi licha ya mabadiliko katika katiba mwanzoni mwa miaka ya 90. Minghairi ya hayo, yanayotokea Chadema ni moja wapo ya michakato ya upevu na upanuzi wa mjadala wa demokrasia nchini. Kunao wanakubalina na kunao wanapinga yanayotokea Chadema. Tuyachukulie yanayojiri ndani ya Chadema kama hatua moja wapo katika demokrasia. Demokrasia, msingi wake ukiwa katika vyama na asasi mbali mbali inajengwa kwa muda mrefu na sio rahisi. Hatua tuliyofika ya vyombo vya habari na umma kujadili kwa hisia kubwa yanayojiri ndani ya Chadema ni hatua nzuri. Tusiyachukulie tu hivi hivi bali tuombe pia vyama vingine vipate kujadili wanachama wao, kujadili mada za kitaifa na mustakabali wa nchi yetu kwa ari kama hii. Upanuzi wa mijadala ndio msingi wa demokrasia. Mungu ibariki Tanzania.

Comments

Popular posts from this blog

Speculating Magufuli’s absence at Uhuru Kenyatta’s Inauguration

29 November 2017 As I drove on the Thika Superhighway on the weekend before Uhuru Kenyatta’s inauguration on Tuesday, the road was decorated with flags of different countries. At the foot-bridge next to National Youth Service (NYS) Headquarters, the Tanzanian flag flew sublimely. Other flags including the Nairobi City Council flag decorated the Thika Superhighway that headed towards Kasarani, the venue of the inaguration. The Office of the Government Spokesman in Tanzania, had on 24 November issued a press statement saying that President John Magufuli would attend Mr. Kenyatta’s swearing in on 28 November. Days before Mr. Kenyatta’s inauguration, NASA leader Raila Odinga, a close friend to Mr. Magufuli flew to Zanzibar, where it is reported that the two met. Mr. Odinga’s trip to Zanzibar which came a few days after he jetted back to Nairobi from an overseas trip sparked debated and controversy. On the inauguration day, Tanzania’s State-House issued a press release saying that Vice Presi…

Comment: The Politics of Party Defection in Tanzania

Political party defection is a sign of unstable party democracy and/or jockeying for political positions. Defections happen from ruling party to the opposition and from the opposition to the ruling party. In African fledgling democracies, party defections are not about ideology or philosophic underpinnings. Party switching in many African states is largely driven by ethno-demographic and religious factors. These factors have also informed political party formation. Party switching is also a strategic political manoeuvring. Despite Tanzania boasting of national parties, political party strength is largely regional. We're now witnessing a surge in party defections from across the parties.
The defection of former PM Edward Lowassa from CCM to Chadema in 2015 was monumental, especially it coming just before a general election. The election season several high-profile defections. Defections from a dominant ruling party like CCM to the opposition is always huge. CCM's single party d…