Monday, 30 December 2013

Katiba Watch Tanzania: Rasimu ya Pili

Tume ya Katiba kuwasilisha Rasimu ya pili kwa rais leo. Mambo muhimu ni pamoja na muundo wa Muungano, jina la Tanganyika, umri wa mgombea urais, madaraka ya rais,  haki za binadamu na mengine mengi.

Yatakayojiri kwenye rasimu ya pili ya katiba ntayawasilisha kesho.

No comments:

Post a Comment