Sunday, 5 May 2013

Mlipuko Kanisa la Katoliki Arusha

Poleni watu wa Kanisa Katoliki la Olasiti. Huo mlipuko ni dalili mbaya kwa nchi yetu Tanzania. Mungu aturehemu turudie amani. Habari kuhusu mkasa huu bado ni finyu.

No comments:

Post a Comment