Uongo unoachochewa kisiasa lazima ukomeshwe. Naamini uongozi mzima wa CHADEMA hautalaza damu katika harakati wa kutafuta ukweli na kumsimamia mwananchi wa kawaida.
Nguvu ya Umma.
JOHN MNYIKA: Chadema imeanza kuchukua hatua za kisheria dhidi y...: Mbunge wa Ubungo ambaye pia ni Mkurugenzi wa Habari na Uenezi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), John Mnyika akizungumza na ...
No comments:
Post a Comment